Mshindi Wa Tuzo Za Ballon Dor Mara 5 Cr7 Ameweka Wazi Nia Ya Kuondoka Real Madrid
Mshambuliaji uyo alibeba makombe ya UEFA mara 5 na akiwa na ballon dor 5, alisema uamuzi wake wa kuondoka kwenye klabu iyo ya las blancos haitorudi nyuma uku tetesi za kuhamia klabu ya PSG na Manchester united imezidi kupamba moto kwa mujibu wa gazeti la Recoed.

Comments
Post a Comment