Skip to main content
MATOKEO YA MECHI ZA JANA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Barcelona,Arsenal,Bayern Zang'aa,Messi,Ozil Kupiga Hat-trick,Atletico Waendeleza Dozi Kimyakimya
Timu ya Barcelona imejipatia ushind wa bao 4 jana kwa kuifunga timu ya Man City inayonolewa na kocha wao wa zamani Pep Guardiola magoli yaliwekwa kimiani na Lionel Messi aliyepiga hat-trick na Neymar aliyepiga bao safi kabisa ndani ya penati box pia Neymar alikosa Penalti katika mchezo huo,kipa wa Man City Braco aliyekuwa anakipigia Barca msimu uliopita tu alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kudaka mpira nje ya box lake,pia Beki wa Barcelona Mathiue alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kucheza madhambi mara 2 yaliyomsababishia kupataa kadi za njano 2 na kuziacha timu hizo kubaki 10,10 ndani ya uwanja.
Lionel Messi (Monster) sasa amefunga Hat-Trick 41 Barcelona - 37 Argentina - 4 katika maisha yake ya soka,pia Lionel Messi amekuwa ni mchezaji wa pili kufunga Hat-Trick 2 mfululizo katika UCL (baada ya Luiz Adriano).
Timu ya Arsenal ilijipatia Ushindi wa Bao 6 dhidi ya FC Ludogorets Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexis Sanchez,Walcott,Chamberlain na Ozil aliyepiga hat-trick
Hii ni mara ya kwanza Mesut Ozil kufunga Hat-Trick katika maisha yake ya sokaya kwanza Mesut Ozil kufunga Hat-Trick katika maisha yake ya soka.
Comments
Post a Comment