HUYU NDIYE ALIYESAJILIWA NA SIMBA SC

Simba Yamsajili Kipa Kutoka Ghana Aliekua Anakipiga Klabu Ya Medeama 


Timu Ya Simba inaendelea kujihimarisha zaidi katika maeneo mbalimbali ya timu yao ikiwemo sehemu ya mlinda mlango,hivyo Simba Imefanikiwa Kumsajili Kipa Kutoka Medeama Daniel Agyei katika usajili wa dirisha dogo kwa mkataba wa miaka miwili(2) utakaomfikisha mchezaji huyo hadi mwaka 2018.

Comments