IBRAHIMOVICH AFUNGUKA..

Mshambuliaji Wa Mashetani Wekundu Ibrahimovich Amesema Timu Yake Inatakiwa Ipambane Thabiti Ili Iweze Kushinda Mechi Nyingi Zaidi Ili Iwe Katika Nafasi Nzuri Zaidi Ya Kushindana

Man United imeshinda mechi moja na imetoa suluhu mechi 4 katika mechi zake tano zilizopita alizocheza.
Ibrahimovich ambaye ameshaifungia bao 8 timu hiyo ya mashetani wekundu kwenye ligi,amesema united inatakiwa ibadilike na kushinda na sio kutoa sare tena.
Pia akisema mimi ninafunga mabao lakini mwsiho wa mchezo tunaondoka na pointi moja "hapana tunatakiwa kushinda mechi sasa,

inakatisha tamaa sana kwa sababu ni wazi  michezo iliyopita  katika ligi haikuwa na matokeo ambayo tulitaka hasa baada ya utendaji mzuri
alisema Ibahimovich.
Sasa Man U inashika nafasi ya 6 ikiwa na pointi 21 nyuma ya point 13 na vinara wa ligi hiyo Chelsea.

Comments