Real Madrid Imechapwa Tena Na Celta Vigo Katika Robo Fainali Ya Kombe La Mfalme Baada Kutoka Kupigwa Na Sevilla Katika Mchezo Ulipoita Wa Ligi,Simba Ubingwa Mgumu Sasa
Celta Vigo ilishinda 2-1 ugenini, hicho kikiwa kipigo cha pili mfululizo kwa Real Madrid kufuatia wiki iliyopita pia kufungwa 2-1 na Sevilla katika La Liga baada ya kucheza mechi 40 bila kufungwa. Bao la Real lilifungwa na Marcelo dakika ya 69 wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Iago Aspas dakika ya 64 na Jonny Castro dakika ya 70.
Simba Fc
Simba imejiweka kwenye mazingira magumu ya kuendelea kuongoza ligi ya Vodacom baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Sare hiyo imeifanya Simba kufikisha pointi 45, pointi mbili zaidi zile za mabingwa watetezi Yanga waliopo nafasi ya pili na pointi zao 43.
Timu zote mbili Simba na Yanga zinafanana kwa Idadi ya michezo 19 iliyozicheza na sasa ushindani unatarajiwa kuwa mkubwa zaidi kuelekea mwishoni mwa msimu.
Celta Vigo ilishinda 2-1 ugenini, hicho kikiwa kipigo cha pili mfululizo kwa Real Madrid kufuatia wiki iliyopita pia kufungwa 2-1 na Sevilla katika La Liga baada ya kucheza mechi 40 bila kufungwa. Bao la Real lilifungwa na Marcelo dakika ya 69 wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Iago Aspas dakika ya 64 na Jonny Castro dakika ya 70.
Simba Fc
Sare hiyo imeifanya Simba kufikisha pointi 45, pointi mbili zaidi zile za mabingwa watetezi Yanga waliopo nafasi ya pili na pointi zao 43.
Timu zote mbili Simba na Yanga zinafanana kwa Idadi ya michezo 19 iliyozicheza na sasa ushindani unatarajiwa kuwa mkubwa zaidi kuelekea mwishoni mwa msimu.
Comments
Post a Comment