Skip to main content
BOURNEMOUTH YAVUNJA KIBUBU KUMSAJILI BEKI KUTOKA CHELSEA
Timu Ya Klabu Ya Bournemouth Yamsajili Nathan Ake Akiwa Ndiyo Mchezaji Aliyevunja Rekodi Ya Usajili Klabuni Hapo
Ake (22) amenunuliwa kwa paundi milioni 22 kutoka Chelsea,Ake alifunga mabao 4 katika mechi alizocheza Bournemouth msimu uliopita.
Comments
Post a Comment