AUSTRALIA YAPONEA KWA MAAMUZI YA KIDEO

Denmark Yatoa Sare Ya 1-1 Na Australia Kwa Mkwaju Wa Penalti Uliosababishwa Na Yusuff Poulsen


Denmark ndio iliyokua ya kwanza goli la kwanza dakika ya 7 kupitia kiungo wao mahiri anayechezea Tottenham Ericksen na kufanikiwa kuongoza mpaka kufikia dakika ya 38 ambapo mchezaji wa Denmark mwenye asili ya kiTanzania bwana Yusuff Yurary aliposhika mpira kwa bahati mbaya ndani ya 18 na kunaswa na VAR video assistant referee na kuamuliwa penalti na refa wa uwanjani iliyopigwa na nahodha wa timu ya taifa Australia M Jedinak iliyozaa matunda kwa upande wa Australia kwa kujipatia goli lililopelekea kutoa sare ya 1-1 na kubakisha tumaini la kubakia nchin Russia kwa hatua nyingine ya mtoano.

Comments