Mambo Ni Mambo Usiku Wa Leo Pale Tunisia Watavokutana England Kombe La Dunia Russia 2018
Miamba ya soka barani ulaya England inashuka dimbani kumenyana na wakongwe barani Africa timu ya Tunisia, ambapo timu nyingine za Africa ikiwemo Morroco, Egypt na Nigeria zikiwa zimeshapoteza michezo yao nchini Russia. Vijana wa kocha Southgate wakiongozwa na nahodha wao Kane watakua na wakati mgumu kuonyesha ubora wao dhidi ya Tunisia ambao wanataka kuwapa faraja wa AFrika hii leo, je nani ataibuka mshindi?
Comments
Post a Comment