MAFUNZO NA SEMINA KUBWA YA UJASIRIAMALI NA BIASHARA TANZANIA INARUDI TENA TAREHE 14 & 15 OKTOBA 2020, JE UPO TAYARI?💥
💎 Ni Msimu Wa Pili WEZESHA MTANZANIA 2020 , Je Upo Tayari Kwa Mapinduzi Ya Uchumi Wa Kati Kupitia Ujasiriamali Na Biashara Nchini Tanzania?
⚜️ Hii sio ya kukosa, kwani utajifunza kwa vitendo.
👉🏽 Jinsi ya kutengeneza SABUNI tofauti
👉🏽 Kutengeneza Sanitizer na bidhaa tofauti
👉🏽 Jinsi ya kuanzisha biashara na kupata mtaji endelevu
👉🏽 Jinsi ya kutumia mitandao ya jamii kukupa wateja na mauzo endelevu
👉🏽 Jinsi ya kufanikiwa kibiashara kwenye uchumi wa kati
📌 Ada: Tshs 30,000
🧭 Tarehe 14-15 Oct 20
🚪 Dar es Salaam
🗝️ Utapata Mafunzo, Vitabu, Vitendea Kazi Vitatolewa Bure, Machapisho, Vinywaji na vitafunwa kwa washiriki pamoja na Vyeti.
☎️ Piga/ Whatsapp: +255 759 850 259
🆓 Jiunge na Kundi La Whatsapp: https://chat.whatsapp.com/Kyr4DVrIyy5CapTY2jbvbh
Comments
Post a Comment