MECHI KALI ZA LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Je Bayern Munich Italipiza kisasi Kwa Atletico Madrid? Barcelora Itaendeleza Ubabe Wa Kufuga Goli Nyingi Na Arsenal Itaendelea Kufanya Vizuri?

Timu ya Atletico itashuka dimbani na timu ya Bayern Munich leo usiku katika uwanja wa Vicente Calderon,Timu ya Atletico iliitoa timu ya Bayern Mwaka jana kwenye michuano hiyo hatua ya nusu fainali

Mechi nyingine za leo.

Comments