ARSENAL YAFANYA KWELI EUROPA

Meneja Mkongwe EPL Wenger Afurahishwa Na Ushindi Wa Bao 3-0 Waliopata Usiku Wa UEROPA Dhidi Ya  Ostersunds


Arsenal walioamgukia kwenye michuano ya EUROPA baada ya kutolewa kwenye hatua ya makunda kwenye UEFA wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 3-0 wakiwa ugenini ambapo wameweza kujiwekea nafasi bora ya kupita kwenye round ya 16 kwenye michuano iyo inayoendelea kwenye bara la ULAYA.



Magoli ya arsenal yaliyofungwa na Nacho Monreal dakika ya 13 na Ozil (58) pamoja na bao moja walilojifunga wapinzani wao dakika ya 24 , ilimpelekea Wenger kua na furaha na kuondoa machungu ya mechi ya EPLwaliofungwa na Tottenham. Ligi iyo ya EUROPA bado inachangamoto kubwa kwa kuwepona vigogo kama Athletico Madrid, Dortmund, Napoli, Celtic na RB Leipgz ambao wamezoeleka kuwepo kwenye ligi kuu ya UEFA.


Je Arsenal anaweza kufika mbali kwenye Europa? Toa Maoni yako hapo chini.


Sponsors Ads Call: 0759 85 02 59





Comments