Mchezaji Mahiri Wa Taifa La Senegal Na Klabu Ya Liverpool Inayoshiriki EPL Sadio Mane Kuongezewa Mshahara
Sadio Mane mwenye umri wa miaka 25 aliyejiunga Liverpool kutokea Southampton, amebakisha miaka miwili mkataba wake kuisha mwaka 2021, uku Liverpool ikitaka kumpandishia mshahara wake kwa wiki kwa jitihada anazozionyesha katika mafanikio ya timu iyo mbapo katika mechi ya UEFA dhidi ya Fc Porto siku ya Jumanne alifunga bao 3 Hattrick kati ya magoli 5 na kuibuka na ushindi wa 5-0 wakiwa ugenini.
Mchezaji uyo kwa sasa anapokea kiasi cha Paandi elfu 80 kwa wiki kiwango ambacho kilibainishwa kwenye mkataba wake alionao hivi sasa, ata ivyo kiwango icho kitapanda maradufu kabla hajapewa karandasi nyingine itayomuwezesha kufika kiwango cha paundi laki moja na kundelea kwa wiki sawa na Tshs milioni 200 kwa wiki.
Comments
Post a Comment