SHAMBULIO LA BOMU LAWAJERUHI WANAJESHI WA ISRAEL

Wanajeshi Wa Israeli Washambuliwa Na Bomu Kwenye Mpaka Wa GAZA 


Wanajeshi wa Israel wamejeruhiwa wawili kati yao vibaya wakati wa mlipuko karibu na mpaka wa Israel na Ukanda wa Gaza.

Jeshi lilisema kuwa bendera ya palestina ilikuwa ikipepea eneo hilo, na wakati wanajeshi walikaribia wakakumbwa na mlipuko.

Israel iliendesha mashambulizi ya ndege katika vituo vya kundi la Hamas kujibu.

Katika kisa tofauti vijana wawili wa kipalestina waliuawa kwa risasi zilofyatuliwa kutoka kusini mwa Rafah nchini Israel....@bbcswahili.com

Comments