SAMUEL ETO MBIONI KUREJEA SERIE A

Gwiji La Soka Barani Afrika Matatani Kujiunga Na Lazio Ya Nchini Italia


Samuel Etoo anatarajiwa kurudi seria A na kukipiga na klabu ya Lazio baada ya kuonekana akifanya mazungumzo na wawakilishi wa klabu iyo mjini rome. Etoo ambaye aliwahi kucheza intermilan chini ya kocha Mourinho aliyoisaidia kutwaa ubingwa wa UEFA kwa sasa anakipiga na Konyaspor ya nchini Uturuki ambapo ameshafunga magoli 13 toka ahamie mwezi January.

Comments