SERGIO RAMOS NI MPUMBAVU ASEMA FIRMINO

Mshambuliaji Wa Liverpool Robert Amtusi Ramos Kwa Tukio Alilofanya Fainali Za UEFA


Fainali ya UEFA mwakahuu, imekua na taharuki kubwa kuhusiana na tukio lililotokea kati ya Ramos na Salah ambapo mshambuliaji wa Liverpool ambae ni tegemeo kwenye safu ya ushindi alivunjwa bega na beki mtukutu wa Real Madrid Sergio Ramos na kupelekea kutolewa nje dakika za 30 kipindi cha kwanza.

Firminho alieleza kua Ramos ni mpumbavu na alifanya makusudi ivyo ilibidi achukuliwe hatui madhubuti kwa alichokifanya. Mshambuliaji uyo wa Brazil alieleza ayo kwenye chombo cha habari cha Skysports mapema wiki hii ambapo alihojiwa na mwandishi wa habari.

Comments