WANAUME KAZINI LEO USIKU WA SAA NNE USIKOSE KUTAZAMA LIVE

WAZEE WA KOMBE LAO | France Vs Germany | MUDA: Saa NNE Usiku | UWANJA: Stade Velodrome | REFEREE: Nicola Rizzoli (Italy) | WATAZAMAJI: 67,000


Hii ni mechi ya patashika nguo kuchanika kwani mafahari hawa ndio wanatabiriwa kubeba ndoo hiyo ya Euro France 2016 atapoingia fainali kukutana na wazee wa Zali Portugal.
Kwa upande wa France itawakosa wachezaji wake mahiri wawili kwa sababu ya kadi mbili za njano ambao ni Kante na Rami. Ila Germany mziki utakua umekamilika maana Tiger ataliziba vilivyo pengo la Khedira kama bado atakua hajapona vizuri na jeraha lake. 




Kwa ufupi timu zote zinaviungo wazuri na wenye uzoefu kama Uncle Tom, Pogba, Tiger na Matiudi. Pia washambuliaji mahiri kutoka pande zote mbili kama Griezman na Draxler. Tutazamie kuona mpira wa ufundi zaidi na wenye magoli matamu.



Possible line-ups

Germany: Neuer; Kimmich, Boateng, Höwedes, Hector; Kroos, Schweinsteiger; Draxler, Özil, Götze; Müller.

Out: Hummels (suspended), Gomez (thigh), Khedira (groin)
Doubtful: none



Benedikt Höwedes is set to deputise for the suspended Mats Hummels at centre-half, with Joshua Kimmich filling in at right-back. If Bastian Schweinsteiger does not make it, Emre Can or Julian Weigl will replace him. Thomas Müller should lead the line.

France: Lloris; Sagna, Umtiti, Koscielny, Evra; Pogba, Matuidi; Sissoko, Griezmann, Payet; Giroud.
Out: none
Doubtful: none



Didier Deschamps could restore Adil Rami in central defence after a ban. A reversion to 4-3-3 and recall for N'Golo Kanté cannot be discounted should Deschamps decide 4-2-3-1 is overly attacking.



Kwa kua France ina historia ya kumfunga zaidi Germany kwenye michuano mikubwa na ukizingatia leo wapo nyumbani na France wanatabia ya kutumia vizuri uwanja wa nyumbani siku zote basi dakika 90 ni France kushinda au draw.



PUBLISHED BY DRIBBLE DA MANIA: NO.1 SPORTS Fan.

Instagram: Dribble da mania

Facebook: Dribble da mania

Twitter: Dribzness

Snap chat: Dribble da mania

Leave a COmment & Share

Comments