SENEGAL YAITOA KIMASO MASO WAAFRIKA

Timu Ya Taifa Segenal Yaleta Shangwe Kwenye Bara La Afrika Baada Ya Kuifunga Poland


Simba wa teranga , chama la wana Afrika, Senegal wamefanikiwa kupata ushindiwao katika mechi yao ya kwanza ya ufunguziwa kombe la duni nchini Russia 2018 baada ya kuwachabanga Poland mabao 2-1 mechi iliyokua na msisimkomkubwa sana kwa wana Afrika. 

Upande wa Mo Salah mambo yakawa mabaya baada ya kupoteza mechi yao dhidi ya Russia kwa kupigwa bao 3-1.

Comments