TRUMP NA KIM JUNG UN SASA MAMBO NI MOTOO!!!

Kim Jung Un Akubaliana Na Trrump Kusitisha Mpango Wake Wa  Nuclear Na Kurudisha Mshikamano Na Nchi Jirani


Mkutano wa Kim na Trump ambao umekua wa ki Historia na kupewa jina la Kim Trump Summit waliokutana nchini Singapore Istana, umezaa matunda kwa upande wa USA na pande mbili kuweza kusaini mkataba utaopelekwa mabadiliko ya haraka kwa nchi ya North Korea kwa kusitisha mpango wake wa nuclear. Pia Trump ameweza kumualika Kim kwenye IKulu ya White House nchini marekani ambapo imekua ishara ya kua marafiki wa kudumu kuanzia hapo na kuendelea. 

Comments