UPIMAJI WA SAMAKI WAZUA ZOZO NCHINI TANZANIA

Baada Ya Waziri Wa Mifugo Mh.Mpina Kuomba Radhi Kwa Kupima Samaki Kwenye Mgawa Wa Bunge  



Samaki hao walibainiwa kuwa wamevuliwa kwa uvuvi haramu ulidhihirishwa kwa vipimo vya rula.Picha ya maofisa hao walipokuwa wakipima samaki wakiwa katika mgahawa ilisambaa mitandaoni na wengine kuigiza kile ambacho maofisa hao walichokuwa wakikifanya.

Wengine wameongeza chumvi kwa kuiga alichokisema Mh. Spika kwa kufunga milango wakiwa wanakula kitoewo icho kwa kuhofia kuvamiwa na maafisa hao wataokuja kupima samaki aliyepikwa na kua mboga mezani. Ata ivyo kitendo iko kimetiliwa ngumu na bunge na kutaka mamlaka kufanya kitendo icho kisheria na sio kiolela kama walivyofanya kwenye mgahawa wa bunge.

Comments